Pochi ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanamke. Pochi zipo za aina nyingi, rangi, ukubwa na matumizi mbali mbali. Ni nadra sana kukutana na binti au mama anayetembea bila pochi, na kwa wengine maisha yao yote wanatembea nayo kwenye pochi.
Kuna vitu muhimu ambavyo ni lazima kila mwanamke akumbuke kutembea navyo kwenye pochi, na kuna vingine ni vyema kuwa navyo lakini sio lazima itatokana na mahitaji yako mwenyewe.
Pini, Sindano na uzi, kifungo, Dawa yoyote ambayo unaitumia na kuihitaji,Kitambulisho , Pedi ,Kalamu na notebook
Perfume , Lip shiner, lip stick , Poda au Mack up, Wanja, Kitana, Leso au Tishu, Khanga au mtandio , Kadi ya benki, Sandozi kama unavaa viatu virefu.
No comments:
Post a Comment